Wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano ya Caf, Simba SC jioni ya Leo watatupa karata yao ya mwisho ili kujaribu kupindua matokeo ya 1-2 vs Nkana Red Devils FC na kufuzu kwa hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika 2018/19.
Simba inatarajiwa kuweka historia ya kufuzu hatua ya makundi baada ya kufanya hivyo tangu mwaka 2003.
Beki ya Simba bado ni uchochoro, na wala usiwaze kuhusu 1-0 Dar es Salaam, Nkana watakuja hapo na kufunga tena na si ajabu ni wao wakapita kwa goli la ugenini kwa beki hii ya Simba na golikipa ‘asiyeona kiki za mbali.’
Mabingwa wa soka nchini Simba Sports Club wameanza….Stori zaidi.
Je Simba kuvunja huu mwiko? Na Upi utabiri wako pia kuelekea mchezo huu? Mbolembole ameshatoa wake.
Shirikisho la soka barani Africa (CAF) imetoa ratiba….Stori zaidi.
Ligi ya klabu bingwa barani Africa imemaliza hatua….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Simba imeendeleza ubabe ugenini….Stori zaidi.
Nimeitazama timu ya Simba katika michezo yake takribani….Stori zaidi.