Kuukataa U-UNDERDOG kumewaponza Simba
Simba ilipoteza vibaya mchezo wake dhidi ya AS VITA Club hapo jana.
Simba ilipoteza vibaya mchezo wake dhidi ya AS VITA Club hapo jana.
Kuna aina ya wachezaji wawili uwanjani. Aina ya kwanza ni mchezaji bora na aina ya pili ni mchezaji muhimu. Hawa wote hukaa kwenye timu moja.
“Tunajua wataanza kutushambulia kwa kasi kama ilivyo kawaida kwa klabu kama Vita katika michezo yake ya nyumbani”
Kesho Klabu ya Simba itacheza na Association Sportive Vita ( As Vita) katika uwanja wa Stade des martyrs wenye uwezo wa kubeba mashabiki 80,000.
Simba ipo nchini DRC tayari kwa mchezo wa klabu bingwa dhidi ya AS Vita Club.
Fursa za Simba kushiriki michuano ya kimataifa zimebaki mbili tu, kuchukua kombe la klabu bingwa Afrika au TPL.
JE inawezekana kirahisi?
Simba inakwenda kucheza mchezo wa pili katika hatua ya makundi.
Simba itacheza na AS Vita katika mchezo wale wa pili wa makundi.
ni mzuri kukaba kwa kutokea nyuma (blind side defending).Kwa kule Ulaya bila shaka N’Golo Kante, Sergio Busquet, na Casemiro wanazijua kazi hizi kwa usahihi mkubwa.
Simba inatakiwa kukusanya alama zote 6 kutoka kwao kutokana na ukongwe wao Africa