Simba imeshinda, lakini ZANA kaibuka Shujaa.
Kuna wakati mwingine muda huwa ni mwamuzi mzuri , tunatakiwa kuvumilia na kusubiri muda utoe hukumu sahihi.
Kuna wakati mwingine muda huwa ni mwamuzi mzuri , tunatakiwa kuvumilia na kusubiri muda utoe hukumu sahihi.
Simba yupo uwanjani leo dhidi ya Al Ahly
Hata nje ya uwanja mashabiki watakuwa na nguvu ya kununua bidhaa za vilabu vyao kwa kuchagizwa na falsafa hii ya YES WE CAN.
“Tunafanya mazoezi ya nguvu sana, tunawaweka sawa wachezaji kisaikolojia waamini kuwa maisha yao ni soka”
Al Alhly ndiyo mabingwa wa kihistoria wa kombe hili la ligi ya mabingwa barani Afrika. Kombe hili huwa wanalichukulia kwa maanani sana. Siyo rahisi kwao wao kukubali kupoteza nyumbani tena dhidi ya Simba.
Andika matokeo ya mechi hii ndani ya ukurasa huu kwa kwa kutumia akaunti ya Facebook ujishindie wewe na rafiki yako kwenda uwanja wa Taifa.
Shirikisho la Soka Afrika CAF lilimteua Ofisa habari….Stori zaidi.
Kikosi cha wachezaji 20 na viongozi kinaondola leo jioni
Simba imefanya mazoezi yake katika uwanja wa Bokko beach veteran.
Katika msimamo wa kundi D Simba inashika nafasi ya tatu baada ya kucheza michezo miwili, wakishinda mchezo mmoja dhidi ya Jeunesse Sportive de la Saoura kwa mabao 3-0 jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kupokea kichapo kikali cha mabao 5-0 kutoka kwa AS Vita ya nchini DR Congo