Uongozi Simba: Tunahitaji tuzo ya CAF!
Katika mchezo dhidi ya Al-Ahly mliona na pia kwenye mchezo wa JS Saoura wachezaji wao walipagawa mpaka wakaanza kupiga selfie
Katika mchezo dhidi ya Al-Ahly mliona na pia kwenye mchezo wa JS Saoura wachezaji wao walipagawa mpaka wakaanza kupiga selfie
Wale Saoura walikuja hapa wakakutaa uwanja umejaa wakashangaa na kuanza kupiga selfie na mashabiki.
Je Cleotus Chama ni wakutesa hapa hapaa tuu katika Ligi yetu?
Simba wanatakiwa kupokea ugumu huu kama mtihani ambao wanatakiwa kuufaulu kwa lazima. Ndiyo maana nawasisitiza kuwa milima ipo kwa ajili ya kupandwa.
Simba wanahitaji kucheza kwa nidhamu kubwa sana, hasa “marking”, na aina ya mchezo wanaotaka kuucheza.
Baadhi ya wachezaji muhimu wakiwa wamebaki Dar kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo majeruhi na adhabu.
Idadi kubwa ya magoli ligi kuu Tanzania bara anayo yeye, yeye ndiye mfungaji bora wa muda wote, anagoli zaidi ya 100. Mchezaji aliyezifunga goli nyingi timu za Simba na Yanga rekodi pia anayo yeye. Ni mchezaji bora wa msimu uliopita. Na ni kepteni wa timu kubwa kama Simba. Bado unamchukulia poa tu?.
Tabiri matokeo kwa kuandika katika sehemu ya maoni ndani ya tovuti yetu tu ya mechi hiii. Mtu wa kwanza kuwa sahihi kabla ya mchezo kuanza atajipatia tiketi ya VIP B mechi ya Simba SC vs AS V.Club na Jezi ya Klabu ya Simba.
Simba inakwenda Algeria kwa tahadhari kubwa licha ya kuifunga JS Souara mabao 3 kwa sifuri jijini Dar es salaam .
Ugumu wa mechi ya Simba vs As Club Vita utachagizwa na matokeo ya mechi za awali yaani Simba dhidi ya JS Saoura na AS Vita dhidi ya Al ahly. Jumla AS Club Vita wanaweza kupata alama 1-3 katika michezo yake miwili iliyosalia na mwisho wa siku kuwa na jumla ya alama 5-7.