Do or die! Yaani Kufanya au Kufa
Hii ni fainali ambayo ai ya kukosa, wapenzi wa kandanda nchini hii ni mechi ya burudani tosha.
Hii ni fainali ambayo ai ya kukosa, wapenzi wa kandanda nchini hii ni mechi ya burudani tosha.
Tupe maoni yako nawewe ungependa kumuona nani katika kikosi cha kwanza cha Simba kesho dhidi ya AS Vita.
Kikosi kamili cha wachezaji 20 wa AS Vita waliotua Dar ili kutafuta nafasi ya robo fainali hiki hapa.
Ungana nami katika hatua hii ya mwisho kabisa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mohammed Dewji
“kwa wachezaji 28 na bechi la Ufundi iwapo klabu.”
Pengine kiwango hafifu alichokionyesha beki Paul Bukaba katika mchezo dhidi ya JS Saoura.
Sio hao tuu lakini kina Wawa na Juuko wakati wa mipira ya adhabu na kona mkivitumia vichwa vyenu kwa ufasaha zaidi
Mimi naamini kwa morali tuliyonayo wachezaji pamoja na mbinu za mwalimu (Patrick Aussems)
Ushindi ni lazima! Lakini kila mtu katika nafasi yake lazima atimize majukumu yake.
Je tumtegemee swaiba wake Said Hamis Ndemla kupewa eneo la kati na kulitendea haki?