Picha: Simba vs TP Mazembe
Tazama matukio katika picha baada ya mechi ya robo fainali kati ya Simba vs TP Mazembe.
Tazama matukio katika picha baada ya mechi ya robo fainali kati ya Simba vs TP Mazembe.
Wanatakiwa kufa wakiwa wanatabasamu. Wamefanya kazi ambayo ni kubwa.
Hata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Unatakiwa ujue kucheza ugenini. Hapa ndipo jina la Pierre Lenchantre linapokuja kichwani mwangu.
Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo la Taifa.
Ndio klabu yenye mafanikio makubwa zaidi nchini ikiwa na jumla ya mataji 35.
Wachezaji hatari zaidi na wa kuangaliwa wakati Simba itakapokutana na Mazembe
TP Mazembe ilianzishwa mwaka 1939 ikijulikana kwa jina la FC Saint Georges, uwanja wake una uwezo wa kubeba jumla ya watazamaji 18,500. Rais wa klabu
Hii Simba SAMPULI, BAKA YA ILE MIAKA, YATULIZA BOLI TULI, MPIRA KWENYE UKOKA, YANGA KUCHA HAWALALI, KWANINI WANATESEKA?, THIS IS SIMBA mkubali, TAIFA KUBWA Afrika!
Nini kimesababisha Mwana FA aseme maneno haya? na je unayaunga mkono?