Safari ya Yanga mwisho kwa Lipuli
Yanga na Lipuli watakutana katika hatua ya nusu fainali baada ya Yanga kuitoa Alliance Schools kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
Yanga na Lipuli watakutana katika hatua ya nusu fainali baada ya Yanga kuitoa Alliance Schools kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
Wapenda soka wa Tanzania wataikosa timu bora katika michuano hii ya kombe la shirikisho. Tupe maoni yako…
Baada ya kuiondosha kwa mabao mawili kwa sifuri African Lyon katika uwanja wa Jenerali Isamuhyo Mbweni sasa KMC inasubiri mshindi kati ya Kagera Sugar ama Azam f c ili kucheza nae nusu fainali.
Kocha wa timu ya Namungo Bakari Malima kutoka….Stori zaidi.
Boma FC iliyopo kundi B katika ligi daraja la kwanza inashika nafasi ya pili ikiwa na jumla ya alama 21 nyuma ya vinara Geita wenye alama 23
Kocha wa timu ya soka ya Mashujaa ya….Stori zaidi.
Mara nyingi tumezoea mtu unapofanya kazi basi utalipwa,….Stori zaidi.
Mshambuliaji wa Haruna Chanongo pamoja na Saleh Khamis….Stori zaidi.
Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kutinga fainali katika….Stori zaidi.
Michezo ya nusu fainali ya Azamsports FederationCup tayari….Stori zaidi.