Stars mpya ni Himid na Sure Boy!
kwa upande wa John Bocco yeye ameendelea kukosekana na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwenzake wa Simba Kibu Denis.
kwa upande wa John Bocco yeye ameendelea kukosekana na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwenzake wa Simba Kibu Denis.
Niacheni nionekane muoga tu lakini akili yangu inampitisha moja kwa moja Algeria kuchukua nafasi moja wapo kati ya hizo mbili.
Nigeria imetolewa katika hatua ya nusu fainali na timu ile ile iliyomfanya kibarua kiote nyasi.
Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu.
Katika mechi 44 Tanzania ilizokutana na Kenya, Tanzania imeshinda mechi 14, sare 14 na kupoteza 20.
Baada ya mechi hiyo mijadala ilikuwa kwanini Juuko Murshid kutokupewa nafasi kubwa kwenye kikosi cha Simba wakati ni beki mzuri.
Hizi ni takwimu chache kwa msaada wa mitandao tofauti. Michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika inaanza leo.
Mchezo dhidi ya Misri ulisaidia kutoa picha ya namna mashindano ya AFCON yatakavyokuwa. -Amunike
Mane atacheza mechi mbili zitakazobaki baina ya Algeria na ya mwisho dhidi ya Kenya.
Jezi mpya ya Tanzania imezinduliwa na itatumiwa na timu zote za Taifa kwa upande wa mpira wa Miguu nchini.