NMB Kutoa Kadi Maalum kwa Mashabiki wa Simba
Ni kadi ambazo zitakutambulisha kama shabiki wa Simba lakini pia zitatumika katika matumizi ya kawaida ya kibenki
Ni kadi ambazo zitakutambulisha kama shabiki wa Simba lakini pia zitatumika katika matumizi ya kawaida ya kibenki
Simba wamesema rasmi tarehe 21 jezi zao zitapatikana madukani kote na pia wametangaza siku itayofanyika Simba Day.
Kikosi hicho cha Kino Boys pia kimetaja wachezaji ambao wameachana nao na kutoa sababu ya usajili mpya huku eakizingatia zaidi umri wa wachezaji hao
Alli Kamwe sambamba na kutangaza viingilio lakini pia alisema Wananchi wa Mwanza watapa fursa ya kupiga picha na makombe yao matatu.
Yanga imekidhi vigezo kitaifa na kimataifa na ndio maana tunashirikiana nao
Simba ni klabu kubwa iliyoleta heshima katika nchi hii, nawapongeza wachezaji na viongozi kwa kazi nzuri waliyoifanya.
Post ya MO ni post iliyokwenda kuvirudisha vitu nyuma baadhi ya vkwa kiasi. Inavunja watu moyo.
Ile ahadi yetu iliyobaki kwa timu zetu nyingine sasa wakati wake ndio umefika na tunakuja kuendeleza furaha zaidi
Michezo ya Ngao ya jamii huchezwa kwa kumaanisha kuukaribisha msimu mpya wa Ligi na hivyo ni wazi bodi ya ligi wapo mbioni kutoa ratiba ya Ligi
mwaka huu 2023 aliazimwa kwa muda maalum Taifa Stars wakati wa mechi dhidi ya Uganda zote mbili