Simba Bila Manula? Ngoja Tuone
Hii ilikuwa lazima ifanyike tena kwa uharaka mkubwa. Ally Salim na Feruz ilikuwa karata ngumu sana kwa Simba SC kuicheza kuelekea Msimu mpya wa mashindano.
Hii ilikuwa lazima ifanyike tena kwa uharaka mkubwa. Ally Salim na Feruz ilikuwa karata ngumu sana kwa Simba SC kuicheza kuelekea Msimu mpya wa mashindano.
Aidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.
Sina hata maneno ya kuelezea jinsi nilivyo na huzuni. Nadhani katika soka ni kujaribu kupanda viwango
Lakini isiwe tunahitaji mshambuliaji mpya kwa sababu ya watu fulani wasiojua mpira kumchukulia poa Musonda
Pia walitoka Sure boy na Mzize na nafasi zao zilichukuliwa na Aucho pamoja na Aziz Ki hivyo kufanya wachezaji wote kucheza.
Tayari klabu ya Yanga imeshatambulisha wachezaji wao wapya pamoja na jezi mpya lakini hii bado haiondoi shauku kwa mashabiki
Gamondi atapata kipimo halisi kutoka kwa Amakhosi ambao nao wamepania kufanya vyema msimu ujao baada ya kumaliza nje ya nne bora msimu uliomalizika.
Sisi ni klabu kubwa nchini Afrika Kusini yenye mashabiki wengi. Ni wazi mashabik wanaifuata klabu popote inapokwenda.
Hii ngumi inatoka mbali inatoka msitu wa Mbambadu, yanu mtu atoke kwao aje kutamba kwako
Hakuna wa kulaumiwa, bali muda. Muda unafurahisha na Muda unahuzunisha. Hizo Ndio tabia za Muda.