Simba ni Kikubwa na Historia Zaidi.
Kuelekea mchezo huo ambapo washabiki wengi wa Simba wana hamu ya kuwaona nyota wao wapya
Kuelekea mchezo huo ambapo washabiki wengi wa Simba wana hamu ya kuwaona nyota wao wapya
Hii ni kubwa sana na itazidi kuwa kubwa zaidi kama wataendelea kufanya hiki ambacho wanafanya ndani ya klabu yao
Kwa sasa sidhani kama Simba inamuhitaji sana Victorian Adebayor kama ambavyo yeye anaihitaji, ndio maisha
Fauka na hayo hofu yangu ni moja, je Azam wataiweza vita ya nje ya uwanja? Azam hawako vizuri
Aidha pia mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtazar Mangungu ameizungumzia Simba day ya mwaka huu huku pia akijinasibu kuwa wao ndio waanzilishi wa Tamasha hilo.
Kuondoka kwa Fiston Mayele ni muendelezo wa wachezaji wakigeni wanaochezea Simba na Yanga ambao wamekua wakizitumia klabu hizi mbili vizuri
Yaani kwa sasa inachoifanya Afrika ligi ya Tanzania kinakaribia ligi ya Saudi Arabia inachoifanya Ulaya
Ni ngumu sana kuzungumza kuhusu Young Africans wakati ule pasipo Yanick Bangala lakini sasa imekuwa hivyo
Ukaguzi huo umehusisha Uwanja wa Benjamin Mkapa, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Julius Nyerere, hospitali ya Taifa Muhimbili, Uwanja wa Uhuru, na viwanja vingine vya mazoezi.
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kimejichimbia nchini Uturuki kujiandaa na michuano ya Kitaifa na Kimataifa lakini kubwa zaidi ni michuano mipya ya Super Cup