Karia: Nimefurahi TAKUKURU kuingilia kati.
si vyema kuliongelea hapa labda nitakua naingilia kazi ya mahakama au uchunguzi lipo kwenye vyombo vya husika.
si vyema kuliongelea hapa labda nitakua naingilia kazi ya mahakama au uchunguzi lipo kwenye vyombo vya husika.
Kwa urejeo wa Bundesiliga ni kiashirio kipya cha nusu kwa Ligi nyingine barani Ulaya ambazo pia zina mpango wa kumalizia michezo iliyobaki ili Ligi iishe na bingwa apatikane uwanjani!
Hawa ndiyo wachezaji waliocheza au kuitwa katika kikosi cha Taifa Stars katika safari ya AFCON 2021 nchini Cameroon.
Twende sawa, niambie maoni yako ni yepi, Je unakubaliana na mimi kuwa Kagere na Mzamiru ndio wachezaji wakutumainiwa zaidi ndani ya Msimbazi?
Ukikutana nae mwambie asante kwa kukubali kuja Tanzania kwa kuja kwake, tumeona maana ya maneno ya Johan Cruffy, Asante sana Gerson Fraga Viera.
Timu 14 zilizofuzu hatua ya kwanza ni Zimbabwe, Msumbiji, Namibia, Angola, Guinea-Bissau, Malawi, Togo, Sudan, Rwanda, Tanzania, Equitorial Guinea, Ethiopia, Liberia na Djibouti.