Manara: Bocco siwezi kukuombea mazuri lakini nakuheshimu
Siwezi kukuombea mazuri wewe na wenzio mkiwa uwanjani na timu yenu , lakini kama rafiki yako nitaendelea kukuheshimu daily , Kwa unachoendelea kutoa Kwa ajili ya football ya nchi hii.
Siwezi kukuombea mazuri wewe na wenzio mkiwa uwanjani na timu yenu , lakini kama rafiki yako nitaendelea kukuheshimu daily , Kwa unachoendelea kutoa Kwa ajili ya football ya nchi hii.
Mshambuliaji wa zamani wa PSG, Fulham na Manchester United Luis Saha amewataja wachezaji wake bora duniani kwasasa akiwataja nyota wawili kutoka Ufaransa na Uingereza.
Ni mkataba mnono zaidi kwa ngazi ya klabu kuwahi kutoea hapa nchini kutokana na mafanikio na uwekezaji mkubwa Simba walioufanya
Lakini si kwa bwana mdogo huyu ambaye aliumia mara moja (hana historia ya kuwa majeruhi) zaidi ya hiyo mara moja iliyotaka kutishia soka lake japo klabu ilimvumilia
Pia hili mdogo wangu Ditram Nchimbi atanijibu kwanini amebadilisha jezi yake toka aliyojibrand nayo no 29 akavaa 2 then Tuisila akavaa 29
kutafuta mipira nje ya box kama timu itazoeana na walimu kuliona hili wanaweza kumpunguzia eneo la kucheza akawa na faida zaidi kwa timu.
Mukoko ,Tuisila Sarpong na Carlinhos
Namatumini ndio walikuwa na mvuto zaidi kwa watazamaji kabla na ndani ya mchezo.
Mipango yote ya ile ‘sex football’ wanayotandaza Wanankurukumbi wale inaanzia kwake akipata mpira anaficha kwanza kisha anawastua Seseme, Awesu na Ally Kagawa anawambia ‘wazee mali hii hapa”
Mkishampa Rashford huo u’daktari wa heshima, basi Mpeni na Bruno Uganga wa heshima.
Simba walimuacha okwi, James kotei Chuma, kipenzi cha Mashabiki, leo baadhi yao wanajutia uamuzi ule, kwanini kesho waruhusu Fraga aondoke?