Elfu tano tuu inakupa mamilioni kibao!
Ni hivi kwa salio dogo kabisa la kianzio cha Tsh 5,000/= unaweza kushinda mpaka Tsh 3M.
Ni hivi kwa salio dogo kabisa la kianzio cha Tsh 5,000/= unaweza kushinda mpaka Tsh 3M.
Chagua Aviator kwakua Kuanzia leo mpaka Machi 22, mvua 20 za bure sawa na beti 500 kila siku zitakushukia. Wahi na Ushinde Sasa
Klabu ingependa kumshukuru kwa juhudi zake za kutochoka wakati alipokua klabuni na kumtakia mafanikio katika majukumu yake ya baadae
Mitaa ya wajanja pale Mwananyamala ilisimama kwa muda….Stori zaidi.
Ally amesema Sawadogo ni mchezaji mzuri shida tu kwamba bado hajazoea mazingira na anakosa utimamu wa mwili lakini si mchezaji mbovu kama wanavyosema.
Lakini pia anaongea kwa ufasaha lugha za Kiarabu, Kingereza na Kiswahili na hivyo kuwa rahisi kuwasiliana na wachezaji wake.
Baada ya vigogo hao kumaliza ratiba zao tarehe 18 na 19 ya mwezi wa tatu watapumzika na kuipisha timu ya Taifa ya Tanzania kucheza michezo yake ya kufuzu Afcon
Kwa upande wa tuzo ya Puskas goli bora la mwaka imekwenda kwa Marcin Oleksy
Mpaka sasa Marcus Rashford ameifungia Machester United mabao 25 katika michuano yote na magoli matatu katika timu yake ya Taifa England katika kombe la Dunia.
Licha ya utitiri wa wachezaji katika eneo la kiungo la Yanga lakini Mudathir ameweza kupambana na kupata nafasi ya mara kwa mara tena katika michezo yote ya mashindano yote wanayoshiriki Yanga.