Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora
kwetu sisi sio jambo geni. Tulishafanya na tulifanikiwa sana. Naamini sasa tutazalisha vitu vizuri zaidi ikiwezekana zaidi ya ile ya mwanzoni.
Kagabo amesema watafikia katika Jiji la Johannesburg na ndipo upasuaji na matibabu yake yatafanyika
Ukitaka kujua kuchezea Azam FC ni kazi kiasi gani, waulize wachezaji waliokuwa Azam FC kisha wakaenda Simba au Yanga, au waliokuwa Simba au Yanga kisha wakaenda Azam FC,” alisema na kuongeza
Narudia tena, ongea na Sure Boy akuhadithie maisha halisi ya kuichezea Azam FC. Ongea na Mudathir Yahya akueleze nini ugumu wa kuichezea Azam FC. Hivyo vigoli vyako 16, sasa hivi ungekuwa navyo 6 au 7
Ni lazima mchezaji bora awe mchezaji aliyefunga mabao mengi? Au ni lazima awe mchezaji aliyehusika na mabao zaidi? Au mchezaji bora anapatikana vipi, vipi kwa upande wa walinzi ama walinda mlango?
Zaka pia ameongeza Mayele yupo sahihi na anaongea kitu ambacho ana uhakika nacho kwasababu mpira unachezwa hadharani.
Nchi hiyo ya Kiarabu inatazama bara la Afrika kama sehemu ambayo wanaweza kupata uungwaji mkubwa mkono katika harakati zao hizo
Hii inaonyesha ni msimu bora sana kwangu mimi kwahivyo namshukuru sana Mungu, na naomba niendelee hivi mpaka mwisho wa msimu.”
Ni kweli katika Ligi kuna viungo wengi wengine wazuri na bora kama kina Aziz Ki, Clatous Chama, James Akamiko, Feisal Salum na Sixtus Sabilo lakino wote hao hawamfikii Saidoo