Simba: Kwa Mkude Swala Lilikua ni Muda.
Sisi ndo tunatambua zaidi heshima ya Mkude kuliko mtu mwingine yeyote na tutamuaga kwa heshima hii
Sisi ndo tunatambua zaidi heshima ya Mkude kuliko mtu mwingine yeyote na tutamuaga kwa heshima hii
Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.
Simba imekuwa ikishiriki Ligi ya Mabingwa mara kwa mara, huku Yanga ikiwa imetinga fainali msimu huu kwenye Kombe la Shirikisho
Wakati Julio anakabidhiwa timu zilikua zimesalia mechi nne na moja ya lengo alilopewa na kuinusuru timu isishuke daraja na angalau ikaangulie kwenye playoffs wakajiulize.
“Sisi tunakuwa wa kwanza kwenye matukio makubwa na matukio muhimu na leo inakwenda kuwa hivyo
baada ya hapo Yanga haikupoteza tena mchezo wa ligi kuu hadi baada ya mechi 49 (Unbeaten) waliyokuja kuivunja Ihefu fc kwa ushindi wa 2-1!
Pia ningependa kukuambia kuwa haijawahi kuwa juu ya pesa, na kwamba muumini mzuri anajua kuwa pesa tunayopata katika maisha yetu tayari imepangwa
Huku kocha Nasreddine Nabi akihusishwa na Kaizer Chiefs, nyota wa zamani wa PSL Bernard Morrison amefanya ulinganisho wa kuvutia kati ya Amakhosi na Wananchi.
Pia nyota aneuhusishwa kuondoka pia dirisha hili la usajili Fiston Mayele amemtakia kila lakheri Nabi akisema ameifanyia kila kitu Yanga
Maana yake kungekuwa na tuzo kwenye eneo ya “nominee” aliyenoga zaidi huwenda pia ingekwenda kwake pia mambo ya Paris France hayoo.