Garnacho: Mali ya Argentina Iliyoikataa Hispania.
Kipaji walichokipoteza Atletico Madrid Alejandro Garnacho Ferreyra (19),….Stori zaidi.
Kipaji walichokipoteza Atletico Madrid Alejandro Garnacho Ferreyra (19),….Stori zaidi.
Timu kubwa haipaswi kuwa na wachezaji waliopishana sana ubora. Kunahitajika kuwepo namba moja, mbili au tatu kwa vile hawawezi kudaka wote kwa mchezo
Kwa Tanzania boxer yoyote anayetaka kupigana namimi kwanza agombe mkanda huu ninaokwenda kuupigania
Halafu watu wa Uturuki wamefurahi kusikia tunaenda wamesema tumelipa heshima Taifa lao,
Kuelekea katika mchezo huo tayari uongozi wa Yanga umeshawaita wachezaji wao waliokua mapumzikoni na wataondoka nchini.
Kwa huduma zote hizo zinawapa nafasi mamilioni ya mashabiki wa Yanga “Wananchi” kupata huduma bila shida nchi nzima wakiwa na kadi zao za CRDB.
Usajili huu utaanza rasmi Julai 10, 2023 kwenye matawi yote ya NMB. Tembelea tawi lililo karibu yako kupata maelekezo zaidi.
Kuna changamoto ya ligi hii kutozalisha wachezaji wengi wanaocheza katika ligi kubwa duniani hasa zile za bara Ulaya.
Promota wa pambano hilo, Fadhili Maogola alisema kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yamekamilika ambapo kesho
Katazo hilo limekuja baada ya shirikisho la soka duniani kuikuta Yanga na hatia ya kutotimiza masharti ya kifedha kwa kocha wake wa zamani