Onyango Haendi Popote, Nabi Akiri Kusikitishwa Kukosa Kibarua
Kambi ya Nasraddine Nabi imethibisha kusikitishwa na kitendo cha Kazier Chiefs kumtangaza kocha mpya licha ya kukaa katika makubaliano kwa muda mrefu
Kambi ya Nasraddine Nabi imethibisha kusikitishwa na kitendo cha Kazier Chiefs kumtangaza kocha mpya licha ya kukaa katika makubaliano kwa muda mrefu
Wengi hujikuta katika mazingira magumu na kuamua kurudi walikotoka. Ni wachache waliotoboa
huenda akatambulisha ndani ya masaa 48 kutokea sasa baada ya yeye mwenyewe kukiri wapo katika hatua za mwisho za kukubaliana na Kaizer Chiefs
Klabu ya Simba ipo katika mazungumzo na nyota wa zamani wa Timu ya Taifa ya Brazil U-20
Nyota huyo yupo tayari kuachana na tim hiyo ili ajiunge na Simba huku pia akiwa ameshakataa kuongeza mkataba na Wacameroon hao
Imebainika kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika keshokutwa
Anajua aina hiyo ya stresi kwa hiyo angeweza kushughulikia presha na stresi vizuri.
Nasraddine Nabi anatarajiwa kutangazwa wiki hii na Kazier Chiefs baada ya kukubaliana katika idadi ya watu anaotaka kwenda nao Chiefs,
Tovuti yako pendwa ya Kandanda.co.tz inakuletea vichwa vya habari vilivyogonga katika magazeti na mitandao mbalimbali.
Kulingana na vyanzo, Chiefs sasa wamemwambia Nabi kwamba anaweza kuleta hadi wasaidizi wake wawili na wanamwachia kocha kuamua katika idara gani.