Pesa za Kagera nisingeweza kuziacha- Kevi Sabato
Kongwe Sabato “Kevi Kiduku” wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa “Wanakurukumbi” Kagera Sugar.
Kongwe Sabato “Kevi Kiduku” wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa “Wanakurukumbi” Kagera Sugar.
Sabato amekabidhiwa zawadi zake kutoka katika mtandao wetu, na ameongea na mtandao wetu
Tazama hapa rekodi zake akiwa na Klabu yake ya Coastal Union.
Tazama hapa msimamo uone jinsi form za timu mbalimbali katika michezo yake mitatu ya mwisho kabla Ligi haijasimama.
Baada ya usajili huo mashabiki wengi wa soka walibaki na maswali ni kwanini Kevi Kiduku ameamua kwenda kutumikia katika timu hiyo.
Mchezaji huyo wa zamani wa Mbao fc na Yanga amesema kama wachezaji hawajaathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na Ligi kusimama ili kuzuia maambukizi ya corona.
Mapumziko haya yatazisaidia timu kuweza kupumzika kutokana na ugumu wa ratiba na pia kuweza kutulia kufanya marekebisho ya makosa yao.
Sisi kama wachezaji tunathamini kazi yetu na ukizingatia team yetu haipo katika hali nzuri tunahitaji kuibakiza katika ligi kila mmoja atafanya mazoezi atakapokuwa.
Matokeo fair kwa kila timu kwa jinsi zilivyocheza, japo mapungufu ya kiamuzi yameufanya mchezo umalizike kwa sare.
Vilabu vya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), vitakutana Alhamisi hii katika kikao cha dharura kuhusu hatma ya mechi zilizobaki kuhusu msimu huu.