Simba, Yanga na Azam fc zitakavyoathirika na Ligi kurudi!
Kutokana na athari hizo tazama nyota ambao huenda wakakosekana katika vikosi vyao.
Kutokana na athari hizo tazama nyota ambao huenda wakakosekana katika vikosi vyao.
Vilabu kama KMC, Azamfc, Simba na Yanga watawakosa baadhi ya wachezaji na makocha wao kutokana na nchi nyingi kufungwa kwa viwanja vya ndege.
Huku namba wachezaji wa kigeni waliofanya vizuri katika ufungaji wa mabao wakiwa wameondoka nchini kina Emmanuel Okwi na Heritier Makambo.
Ligi ya msimu ujao ingechezwa kwa kishirikisha timu 18 badala ya 16 kama ambavyo imepangwa na TPBL na TFF.
Vuta picha ligi bila udambwi wa Morrison, bila ukabaji wa Yakubu, bila mbwembwe za golikipa ‘handsomeboy.
Hizi ndizo timu bora kwa misimu mitatu, kwa kujikusanyia alama nyingi na kufanya vizuri katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ozil ameweka wazi kuwa anaheshimu wachezaji wengine na uamuzi wa kikundi, lakini amewasihi wamuheshimu pia.
Haya ni matokeo ya mechi zote 28 za klabu ya Simba Sc msimu huu hadi ligi iliposimama. Mabingwa hao watetezi katika mechi zote hizo 28 wameshinda mechi 23, ikipoteza mechi tatu na kutoka sare mbili tu.
Unda na tujadili kikosi gani chako kutoka katika timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kinaweza kuwa tishio zaidi kutoka kwa wachezaji wetu.
Tutumie Makala au Uchambuzi wako tutaweka katika sehemu hii ya ‘Kona ya Mshabiki’