Vikosi vya Simba na Yanga vitavyokua bila wageni!
Je vikosi hivi vitaweza kutoa ushindani katika michuano ya Kimataifa kwa maana ya Klabu Bingwa Africa na Kombe la Shirikisho.
Je vikosi hivi vitaweza kutoa ushindani katika michuano ya Kimataifa kwa maana ya Klabu Bingwa Africa na Kombe la Shirikisho.
Hii ni sehemu ya mwisho wa mfululizo wa makala hii, ikifunga kwa ushauri mzuri.
Kuna nchi Ligi zao zimejaza wachezaji wa kigeni, lakini bado zinafanya vizuri katika mechi za timu ya Taifa.
Biashara ya mpira ni biashara tofauti na biashara nyingine sababu hii inataka upate matokeo uwanjani, kama unapata matokeo ya ushindi basi unaonekana unapata faida na si vinginevyo.
Malengo yangu Ligi ikirudi kwa mechi hizo zilizobaki ni kufunga magoli 7, naamini nitafanikiwa.
Wajerumani na Waingereza nao iliwabidi wajifunze kuhusu jinsi ya kuwekeza na kujenga soka lao. Wakiangazia kombe la Dunia lijalo.
Waingereza walitupiana sana lawama, wakaja na sababu kibao za kwanini wameshindwa kombe la dunia. Tazama hii..
Klabu kongwe nchini ndizo zenye ushawishi wa kutumia idadi ya wachezaji wa kigeni, kwa visingizio vingi. Ni visingizio vipi?
Kilichofuata hapo ni historia, hakuna mwanaYanga asiyemjua, hakuna mchezaji wa timu pinzani asiemuhofia, wote walikua wakimuona tu, wanajua kazi ipo leo!
Mjadala mkubwa hivi karibuni umekuwa ni utaratibu ambao unatazamiwa kuletwa katika Ligi Kuu Tanzania bara, fuatilia makala hii ambayo inakupa kwa undani mtazamo wa suala hili kutoka kwa mwandishi.