Alliance waipigia mazoezi ya kijeshi Biashara United.
Klabu ya soka ya Alliance ya jijini Mwanza….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Alliance ya jijini Mwanza….Stori zaidi.
Habari ambazo zimeenea na viongozi wa Yanga kuwa na kigugumizi kuthibitisha ni kuwa kiungo wa African Lyon na aliyewahi kuchezea Simba, Haruna Moshi “Boban” kuwa amesajiliwa na klabu ya Yanga.
Nini kinachoitafuna Mbao Fc, kandanda imeongea na Kocha wa zamani wa timu hiyo, Amri Said
Wafanye kama Zanaco watashinda ubingwa. Viporo vya Simba ni faida kubwa kwao hasa jama wataendelea kushinda michezo yao.
Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
Wiki imeisha na wiki mpya imeanza bila ya Simba kucheza mchezo wowote wa ligi kuu Tanzania kwa kisingizio cha kujiandaa na michuano ya kimataifa.
Klabu ya soka ya Azam imefikia maamuzi ya….Stori zaidi.
MABINGWA mara 27 wa kihistoria wa ligi kuu….Stori zaidi.
Kuna wengine watakumbuka sanaa ambayo alikuwa akiionesha uwanjani,….Stori zaidi.
Kabla ya ligi kuanza kulikuwa na vitu vingi….Stori zaidi.