African Lyon yazuiwa hotelini Arusha kwa siku nne.
“Tulitegemea kupata kitu chochote baada ya mchezo wetu na Yanga kuingiza watazamaji wa kuridhisha, lakini huwezi kuamini licha ya mashabiki kujitokeza kwa wingi lakini hakuna mapato ya kuridhisha.”
“Tulitegemea kupata kitu chochote baada ya mchezo wetu na Yanga kuingiza watazamaji wa kuridhisha, lakini huwezi kuamini licha ya mashabiki kujitokeza kwa wingi lakini hakuna mapato ya kuridhisha.”
KUELEKEA mchezo wao wa 18 msimu huu katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan ‘Vidic’ amesema watapambana kama timu katika game yao vs Mbeya City FC wiki hii.
Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es….Stori zaidi.
Kuna muda tulitumia muda mwingi sana kumwandika, mikono….Stori zaidi.
Wachezaji wanna wetolewa kwa mkopo kwendaa vilabu zingine!
Usajili wake wala haukuwashtua wengi, haitoshi, mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi za Yanga SC alijifunga na kusababisha penati Agosti, 2017.
Kurudi kwa Salim Mbonde kunamaanisha kuzidi kuongezeka kwa ushindani katika eneo la beki wa kati, mpaka sasa nafasi hiyo ina mabeki watano lakini mwalimu Patrick amekua akiwatumia Pascal Wawa na Erasto Nyoni.
Simba inatafuta nguvu ya mchezaji wa 12 siku ya Jumapili, je wao wamejiandaaje pia?
Licha ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Mwadui FC kuhitimisha michezo kumi mfululizo bila ushindi katika ligi kuu Tanzania Bara kocha mkuu wa Mbao FC, Amri Said ‘Stam’ amesema hawezi kukubali ujio wa kocha Ally Bushiri.
Kwanini pia Nyika alisema Ilanfya alihitaji Tsh. 25 wakati ukweli mchezaji huyo alihitaji milioni kumi tu?