Kauli ya Katwila kuelekea mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons.
Mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mtibwa Sugar utafanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mtibwa Sugar utafanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Yahya anakuwa mchezaji wa pili ndani ya muda mfupi kutoka Azam kujiunga na timu za nchini Misri baada ya kiungo Himid Mao kujiunga na Petrojet mwaka jana,
Rishald ameongeza kuwa nafasi kubwa ya kuonesha nia ya kutaka kubaki ipo kwenye mchezo wa Jumanne hii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaofanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Afisa habari wa Mtibwa Sugar Thobias Kifaru Ligalambwike amesema msafara umeondoka ukiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo, ukizingatia mchezo uliopita waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC.
Katika mchezo huu Mbao wametuzidi kwenye eneo la kiungo, walikuwa bora zaidi na ndio maana walituzidi sana kwenye mchezo wa leo, niwape sifa kwa kuwa walikuwa bora kimbinu,
Ajib amefanya vizuri sana kwa mwaka 2018, mpaka sasa anaongoza kwa kutoa pasi za mwisho zilizozaa goli.
Klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’ umewatoa hofu….Stori zaidi.
Msemaji wa klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’….Stori zaidi.
Mashabiki wa Timu ya soka ya Yanga kutoka Tawi la Meatu lililopo wilayani Meatu Mkoani Simiyu wamesema licha ya baadhi ya Mashabiki kutoka timu pinzani kuwabeza kuwa ni ombaomba wanaamini kikosi hicho kilichopo chini ya kocha raia wa kongo Mwinyi Zahera kitachukua ubingwa wa ligi kuu bara msimu wa Mwaka 2018/19.
Mkude pia ametajwa na tovuti hii kuwania uchezaji Bora wa 2018. Unaweza tazama na kupiga kura.