Ile hamasa ya kupigana imepungua sana YANGA
Yanga imepoteza michezo miwili mfululizo, wa ligi kuu mmoja na kombe la sportpesa mmoja.
Yanga imepoteza michezo miwili mfululizo, wa ligi kuu mmoja na kombe la sportpesa mmoja.
Ambundo kwa mwezi huu ameshafunga magoli 4 na anachuana vikali na Aiyee wa Mwadui FC
Yanga ilipoteza mechi yake ya kwanza msimu huu mbele ya Stand United.
Bao pekee la Stand United limefungwa na Jacob Massawe katika dakika ya 88,
Lipuli FC wamepata alama zote tatu wakicheza ugenini dhidi ya Wanatamtam Mtibwa Sugar.
Nahodha Jacob Masawe ndie aliepeleka kilio Jangwani.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Mshambuliaji wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, yupo safarini muda huu kuelekea Misri kwaajili ya majaribio karika klabu ya El Gouna SC inayoshiriko Ligi Kuu nchini humo.
Kmc vs Coastal Union!
KMC licha ya ushindi mnono wa mabao matano watajilaumu kwa nafasi nyingi walizopoteza.