Kuwepo kwa Andrew Vincent “Dante” kwenye mechi kama hii dhidi ya timu yenye safu imara ya ushambuliaji kama Simba ni hatari kubwa sana kwa Yanga, hivo wanatakiwa kabisa kutoruhusu uwazi kutengenezeka katika eneo lao.
John Bocco yeye husimama katikati ya mabeki wawili muda mwingi. Unaposimama katikati ya mabeki wawili, mabeki huwekeza muda mwingi kwako, hivo kuacha uwazi eneo jingine la nyuma.
Tangu mwaka 1965, Simba na Yanga wamecheza mechi 101, Yanga akishinda michezo 36, sare 35 na kufungwa mechi 30. Simba akishinda michezo 30, akitoa sare mara 36 na kupoteza michezo 36. Yanga imejikusanyia alama 143 huku Simba ikijikusanyia pointi 125 katika michezo yote 101 waliyokutana, je Simba kupunguza “gap” la alama au Yanga kupanua gap hilo? tukutane taifa.
Chama cha soka mkoa wa Mwanza (MZFA) kimetolea….Stori zaidi.
Inawezekana Mwinyi Zahera hajui matamanio yetu , ndiyo maana anazidi kumbania Beno Kakolanya, ugomvi wao sisi nyasi ndiyo tunaoumia.
Unakumbuka enzi za Boban? Alijua kupiga pasi vizuri, alijua kutengeneza nafasi za kufunga magoli vizuri. Alijua kufunga pia magoli. Alijua kuupaka rangi ya kila aina mpira.
Kmc imetoka kumfunga Coastal bao 5 kwa 2.
Uongozi wa klabu ya Yanga umekiri kupokea barua….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kupitia mtandao….Stori zaidi.
Soka la wachezaji wetu wa ndani kwa maana ya viwango vyao limeshuka sana kulinganisha na msimu mmoja uliopita.