Simba ipo Stand leo, je imebeba begi au mfuko wa Rambo?
Simba inamalizia viporo vyake vya ligi Kuu Tanzania bara. Leo ipo dhidi ya Stand.
Simba inamalizia viporo vyake vya ligi Kuu Tanzania bara. Leo ipo dhidi ya Stand.
“lakini kikubwa niseme kuwa kwamba, Mimi napenda waamuzi wawe wanaangalia, tumenyima takribani penalti tatu”.
Watu wengi wa mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamekuwa wakiwaona Stand United wakitokea kwenye njia ambayo Gamboshi ipo.
Ndemla ataungana na Ibrahim Ajib ambaye ashawahi kutoka Simba na Kuja Yanga na waliwahi kucheza pamoja katika timu ya Simba.
Wadau wengi wa soka nchini wanaamini kuwa, kukosekana kwa mdhamini mkuu wa ligi, kunaongezaukata kwa vilabu na hii hurahisha upangaji wamatokeo.
Anafanya makubwa zaidi ambayo Mavugo aliwahi kuvifanya. Meddie Kagere mpira wake wa mwisho una madhara makubwa sana kuliko mpira wa mwisho wa Mavugo.
Endapo kama itatokea, mambo mengi yatabadilika kwa upande wa Azam na Yanga kama vilabu, pia hata kwa kocha mwenyewe.
Tumewaona As Vita, Al Ahly ambao wana asilimia kubwa ya wachezaji wa ndani katika kikosi chao. Azam FC wanatakiwa kutumia kituo chao kuzalisha wachezaji wa ndani ambao watakuwa na msaada kwenye timu yao.
Mara ya mwisho kwa Yanga kupata cleansheet ilikuwa lini?, wakati unajiuliza jibu sahihi la swali hili kuna kitu pia unatakiwa kujiuliza sana.
Ni kitu kikubwa sana chenye ushujaa. Baada ya mechi dhidi ya Mbao FC, kinywa chake kilitamka matamanio yake ya kucheza Ulaya tena kwa mara nyingine..