Simba ni bora kuzidi sisi Alliance
Ukitazama mchezaji mmoja mmoja Simba wana wachezaji ambao ni bora kuzidi Alliance.
Ukitazama mchezaji mmoja mmoja Simba wana wachezaji ambao ni bora kuzidi Alliance.
Sintofahamu hiyo ilianza baada ya Beno Kakolanya kugoma kushinikiza madai ambayo alikuwa anawadai Yanga
Msemaji wa klabu kongwe nchini Dar Young Africans,….Stori zaidi.
Kamati ya bodi ya ligi kuu ya Uendeshaji….Stori zaidi.
Kocha wa Simba Patrick Aussems amethibitisha kukosa huduma ya beki wake huyo.
Tumejifunza na tunataka kuwaonesha Simba kwa sasa uwanja huu na tutafanya vizuri kwenye mechi hii inabidi wajiandae.
Kocha wa Coastal Union ya Tanga, Juma Mgunda….Stori zaidi.
Yanga inaongoza ligi kuu, lakini presha ya watani zake Simba Sc ni kubwa zaidi! Wanahitaji kushinda leo kuwa salama zaidi.
Azam FC alazimishwa sare na Mbao FC huku Singida pia akipata ushindi mwembamba.
Katika mwezi March Simba imecheza michezo mitatu na kufanikiwa kushinda michezo yote na kuvuna alama 9.