JKT wanajiangusha sana-Patrick Aussems
Muda mwingi walikuwa wanajiangusha sana kwa minajili ya kupoteza.muda kwenye mechi ya leo”
Muda mwingi walikuwa wanajiangusha sana kwa minajili ya kupoteza.muda kwenye mechi ya leo”
Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.
Simba imemaliza mechi zake katika kanda ya ziwa, hivo wanasafiri na kurudi Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea na kampeni yake ya ligi kuu Tanzania bara.
Simba ni timu bora wametoka kushiriki mashindano ya kimataifa na wamefanikiwa kwa asilimia 60. 70. Kwa hiyo wao ni bora”.
“Sisi ni bora baada ya Simba na Yanga kwa hiyo mashabiki waje kushuhudia mechi nzuri”
Harakati za Simba kumaliza viporo vyake katika kanda ya Ziwa inaendelea tena leo baada ya kucheza mechi tatu katika ƙanda hiyo.
Simba sasa imebakisha mchezo mmoja katika ukanda huo watakaoucheza kesho dhidi ya Biashara United ya Mara.
Unakumbuka tukio la Haji Manara kwenda na TV kwenye mkutano wa waandishi wa habari(press conference?)
Kwa mabao hayo ya Bocco na Okwi wanafanya wachezaji wa Simba wazidi kutawala katika chati ya ufungaji bora. Tazama wafungaji nane bora.
Lyon wamebakisha kucheza na Mbeya City mwanzoni mwa mwezi wa tano, kabla ya kuwakaribisha Mbao FC na Ndanda, baadae watasafiri kucheza na Mwadui mkoani Shinyanga na watamalizia nyumbani kwa kucheza na KMC.