Simba Siyo mabingwa sahihi-Zahera
Mimi siwezi kuwapa hongera kwa sababu hawakustahili ubingwa, kwenye watu saba wawili tu ndiyo watakubali ubingwa wa Simba”.
Mimi siwezi kuwapa hongera kwa sababu hawakustahili ubingwa, kwenye watu saba wawili tu ndiyo watakubali ubingwa wa Simba”.
John Bocco baada ya kufunga bao katika mchezo wa leo kusogea na kuongeza thamani yake katika Ligi Kuu Bara.
Tazama msimamo hapa baada ya ushindi wa mabao mawili kwa sifuri huku magoli ya Simba yakifungwa na Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60.
Kiufundi, mechi hii itakuwa ngumu sana kwa Simba na kuna asilimia kubwa leo Simba wasitangaze ubingwa kwenye ardhi ya Singida.
“Simba watatusamehe, tunahitaji alama tatu ambazo zitatuweka katika mazingira mazuri ya kuendelea kubaki daraja msimu huu”.
Heritier makambo mshambuliaji wa Yanga sc ameendelea kuteseka mbele ya mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere
Kwa msimu huu tuu tayari Ligi yetu imetoa zaidi ya wachezaji watatu waliokwenda katika nchi zilizoendelea kisoka na hivyo kuongeza thamani ya Ligi yetu na kufanya izidi kufwatiliwa na mawakala zaidi.
Mwinyi Zahera anaenda na Makambo kama nani ? Msimamizi wake yani Meneja wake ? Au anaenda na Makambo kama kiongozi wa Yanga?
Tazama hapa msimamo baada ya mchezo wa leo.
Ikumbukwe Yanga wapo katika mbio za kutaka ubingwa huku Ruvu Shooting wao wakiwa kwenye vita ya kujinasua isiteremke daraja.