Mechi yetu na Azam FC ilikuwa ya kirafiki- Zahera
Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.
Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.
Kagera Sugar imeshuka daraja la Ligi kuu kwa sheria ya Head 2 Head dhidi ya Stand united. Lakini takwimu zipo tofauti
Tazama orodha ya mechi na matokeo yake ya mechi zote za Ligi kuu ambazo zimempa ubingwa kwa mara nyingine mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC.
Siku ya Jumanne ligi Kuu ya Tanzania bara….Stori zaidi.
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.
Kati ya timu sita zilizopanda mwaka jana ni timu za KMC, Coastal Union, Allince School ndio zipo salama huku Biashara, JKT Tanzania zikipambana kusalia Ligi Kuu Bara, African Lyon wao wameshashuka daraja tayari.
Pamoja na mapungufu ambayo mashabiki na wadau wa kandanda nchini wamekuwa wakizungumza, Ligi Kuu imefanikiwa sana. Nafasi yako kuipigia kura kujua maoni ya wadau na mashabiki wa kandanda.
Lakini pia vilabu havina budi kutafuta wadhamini wao wa ndani pia ili kupunguza makali ya uendeshaji wa vilabu.
Wadau wengi wamekuwa wakiulizia kujua mshindi wa Ligi Kuu atapata nini, kwakuwa Ligi haina mdhamini mkuu.
Fuatilia uchambuzi wangu wa wachezaji 11, ambao wangekuwa bora zaidi kama wasingejiunga na vilabu vya Yanga SC na Simba SC.