Mtibwa , Mwadui na Ruvu Shooting wafungiwa !
Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu vinatakiwa kuwa viwanja imara, pamoja na mambo mengine. Hii inaweza kuwa ni mwanzo tu.
Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu vinatakiwa kuwa viwanja imara, pamoja na mambo mengine. Hii inaweza kuwa ni mwanzo tu.
Yanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
Udhamini huo pia uliambatana na zawadi za washindi wa ligi, ambao walipewa shilingi milioni 80.4, mshindi wa pili ,milioni 40.2, wa tatu 28.7, wan ne 22 na timu yenye nidhamu ilipata milioni 17.
John Mbise pia amepitia vilabu mbalimbali kama Mshikamano fc, Dodoma fc na Friends Rangers kwa nyakati tofauti.
Nani kutangazwa kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi.
Miraj huenda akatambulishwa hivi karibuni, jezi yake namba 7 aliyokuwa akiivaa Lipuli Fc anakuja nayo Simba Sc
Chirwa alijiunga na Azam Fc akitokea klabu ya Yanga, bao lake katika fainali ya FA liliipa nafasi Azam kwenda Shirikisho.
Ngassa ambaye alifunga magoli saba katika ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita ni kati ya wachezaji ambao mkuu wa benchi la ufundi la klabu bingwa hiyo ya kihostoria nchini, Mwinyi amependekeza kuongezewa
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba na vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.
Katika mabadiliko yajayo ya katiba na uendeshwaji wa Yanga, tunataka kujua pia mtazamo wa mashabiki wa Yanga.