Tujadili Mechi za Leo Ligi Kuu ya Vodacom
Ungana nasi kupiga stori kuhusu mechi zote za leo Ligi kuu ya Vodacom Tanzania hapa, ukiwa pamoja na waandishi na wachambuzi wa kandanda.
Ungana nasi kupiga stori kuhusu mechi zote za leo Ligi kuu ya Vodacom Tanzania hapa, ukiwa pamoja na waandishi na wachambuzi wa kandanda.
Mwinyi Zahera ameendelea kumtetea Molinga, je unadhani anaweza kuchukua viatu vya Makambo kiusahihi kabisa?
Mshambuliaji ambaye alimpendekeza yeye kama yeye kwa kuamini katika miguu yake. Lakini kadri muda unavyozidi kwenda hakuna cha kutisha kwenye miguu mizito ya David Molinga.
Nyanda amesema kwamba anaushangaa uongozi wa Yanga kuanza kulalama kupitia vyombo vya habari bila kupata taarifa rasmi ya shirikisho.
Ikumbukwe Vodacom iliingia mkataba na TFF katika kudhamini ligi kuu Tanzania bara kwa miaka mitatu. Mkataba huo unaifaidisha TFF kiasi cha Bilioni 9 ndani ya miaka mitatu.
Nilipigiwa simu kutoka Congo wakati huo nikiwa Ufaransa kuwa David Molinga hana timu
Manara anaweza kuwa moja ya watu mwenye furaha zaidi siku ya leo baada ya matokeo ya Yanga.
Kandanda haijakuacha nyuma pia, kama ilivyo utaratibu wetu tutaendelea kukuletea ratiba, matokeo bila kusahau wafungaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu.
Nini kilichokuwa kikiwakwamisha hadi baada ya kusikia hukumu ya Bodi ya Ligi? Lini uwanja huu utaanza?
Shirikisho la soka la Tanzania, limevifungia baadhi ya viwanja siku kadhaa kabla ya Ligi kuu kuanza.