Nchimbi yupo, na kapata kiatu chake tayari
Ditram Nchimbi aka Duma 29 amekabidhiwa kiatu chake ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi kwa mwezi.
Ditram Nchimbi aka Duma 29 amekabidhiwa kiatu chake ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi kwa mwezi.
Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?
Klabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.
uatilia matukio katika picha wakati wa mechi kati ya Yanga na Kagera, mchezo ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa Luc Eymael
Eneo hili limeficha sana uwezo wake halisi. Uwezo ambao alitakiwa auoneshe Katika eneo lingine kabisa.
Hawa ni aina ya wachezaji ambao walikuwa wanafunga kwa kutokea pembeni , aina ya mchezo wa Yanga.
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati….Stori zaidi.
Mshambuliaji makini kabisa wa klabu ya Simba SC, Meddie Kagere, bado ni kinara wa kupachika mabao kwa msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom, na hata ukijumlisha msimu uliopita na huu bado yeye ni kinara.
“Tuko kwenye mazungumzo mazuri ya kuvunja mkataba na David Molinga , mpaka sasa hivi mazungumzo yetu yamefikia sehemu ambayo ni nzuri.”
Simba na Yanga wapo katika visiwa vya Zanzibar….Stori zaidi.