Abdul Hillary aongezewa ‘Mguu”.
Wakati gani unahitaji kusheherekea? bila shaka ni wakati ambapo umefikia malengo ya kipindi husika. Hii ndio maana wachezaji hadi makocha hushangilia kwa ku’slide’, ikionyesha jinsi raha ilivyo katika kupachika bao.
Wakati gani unahitaji kusheherekea? bila shaka ni wakati ambapo umefikia malengo ya kipindi husika. Hii ndio maana wachezaji hadi makocha hushangilia kwa ku’slide’, ikionyesha jinsi raha ilivyo katika kupachika bao.
Moja ya kelele ambazo kwa sasa zinapigwa na mashabiki wa Simba ni wao kutomtaka kocha wao mkuu wa sasa.
Tazama na utuchangie katika maoni yenu. Tumekuwekea pia nani atafunga leo katika wale galacha watano wa magoli mwezi huu.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikuwa dakika nzuri sana kwa Polisi Tanzania . Dakika ambazo ziliwapa nguvu ya kuongoza kwa goli moja kwa bila huku wakikosa nafasi nyingi za wazi.
Walianza wao kufunga goli kipindi cha kwanza , goli ambalo liliwapa nguvu kubwa sana ya kutawala mchezo wa jana kwa dakika nyingi , Lakini dakika 5 za mwishoni zilileta maumivu na machozi.
Hongera Daruesh Saliboko Hongera Lipuli Fc Kwa kutoa mfungaji bora wa VPL mwezi Novemba 2019.
Je makosa ya kusababisha goli katika mchezo ule ndio yamemfanya kukosa nafasi katika kikosi cha Wekundu hao?
Coastal wamezifunga timu ngumu katika VPL kama Tanzania Prisons, Kagera Sugar na Azam fc.
Kwa matokeo hayo sasa Coastal Union wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 30 huku Simba wakiendelea kubaki kileleni wakiwa na alama 47.
Hizi ni mechi zote za jumamosi hii ya tarehe 1 ya mwezi, mechi ipi unaisubiria kwa hamu zaidi?