Yanga haichezi REDE inacheza MPIRA -NUGAZ
Jana kulikuwa na mechi ya ligi kuu Kati….Stori zaidi.
Jana kulikuwa na mechi ya ligi kuu Kati….Stori zaidi.
Katika michezo ya leo ya raundi ya 22 Simba, Azam fc na Yanga zote zimeshuka dimbani leo.
Kwa matokeo hayo maana yake kwa msimu huu Coastal wamechukua alama zote sita kwa Azam fc baada ya raundi ya kwanza kuwafunga Azam moja bila katika dimba la Mkwakwani Tanga.
Ikimkosa mshambuliaji wao kiongozi Paul Nonga “Baba Jackiee” aliekwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
Jana kulikuwepo na mchezo kati ya Yanga na Mbaya City katika uwanja wa Taifa . Mchezo ambao ulichezwa siku ambayo Yanga ilikuwa inasherehekea miaka 85 tangu ianzishwe.
Pamoja na kwamba Kocha mkuu wa Yanga kuonekana kusikitishwa na kiwango cha waamuzi katika mchezo wa jana dhidi ya Mbeya City ambao ilimalizika kwa sare ya 1-1 kocha huyo amegusia kuhusu safu mbovu ya ushambuliaji.
Jana Bernard Morrison aliinusuru timu yake ya Yanga kutofungwa na Mbeya City katika mchezo ambao ulifanyika katika siku ya kuzaliwa kwao wakiwa wanasherehekea miaka 85 tangu timu ianzishwe.
Mara ya mwisho kucheza na Mtibwa Sugar ilikuwa siku ambayo kulitokea sintofahamu kwenye klabu ya Simba baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar kwenye michuano na Mapinduzi na Mohammed Dewji kutaka kujivua nafasi ya uenyekiti wa bodi ya Simba.
Hizi ni mechi zote za leo Ligi kuu Tanzania bara
Jana mtandao wa kandanda. co.tz ulifanikiwa kumpa zawadi ya kiatu Abdul Hillary ambaye ni mchezaji wa KMC baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana.