Vipaji vikubwa vya Kandanda Duniani hutokea Afrika!
Wakati wengi wakiamini World Cup ya 1994 si zama zake tena ,Mzee huyu alikuwepo Marekani na alifunga tena katika mchezo ambao Cameroon walifungwa mabao 6 – 1.
Wakati wengi wakiamini World Cup ya 1994 si zama zake tena ,Mzee huyu alikuwepo Marekani na alifunga tena katika mchezo ambao Cameroon walifungwa mabao 6 – 1.
Chumba cha KandandaTz kimeangazia wachezaji muhimu ambao klabu ya Yanga inatakiwa kufanya maamuzi. Hii scout ya bure ya kibabe.
Unitalent hawakuishia tuu kufungwa mabao mawili lakini pia waliteseka uwanjani haswa katika eneo la kiungo
Yumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Msemaji huyo pia ameonyesha ni kwa kiasi gani wamedhamiria kuujaza uwanja huku akitangaza neema kwa mashabiki wa Yanga wataokata tiketi kwenda uwanjani.
Mimi siyo mpenzi wa mpira wa miguu ila nilisikia Rafiki zake wakimwiita Ronaldinho Gaucho,
Kwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.
Taifa Stars ilikuwa na mchezo wakecwa kirafiki katika uwanja wa taifa. Ikaibuka na ushindi wa bao 3-1. Fuatilia uchambuzi wake hapa.
Majimaji ilipokwama jijink Dar baada ya changamoto za usafiri. Tigana anaingazia timu hii
Wanamuita Henoc Inonga Baka, mtu hatari sana ila ana mapungufu mengi sana.