Tusifu kwa nyimbo za kudumu
Nyimbo gani hizo ambazo zinaweza kudumu, kama ile ya Pepe Kale kwa Yanga.
Nyimbo gani hizo ambazo zinaweza kudumu, kama ile ya Pepe Kale kwa Yanga.
Nawaambia hii Selemani Matola ni Muajiriwa wa Simba Sponga Waajiriwa Wote wana namna yao ya Kuingia na Kutoka katika Ajira zao!
Klabu ya Simba ilimtangaza Juma Mgunda kutoka Coaatal union kwa muda, Sady anachambua uamuzi huo.
sasa imewageukia wateja wao kwa kuwamwagia fursa kemkem za kujipatia mamilioni ya pesa kiulani wakati wakiwa wanasajili akaunti zao mpya za ubashiri wa michezo.
Yanga mwenyeji wa mchezo kwa kuwa anamiliki ubingwa wa mashindano Mama ya nchi yaani ligi kuu ( top tier league).
Kariakoo Derby kwa mara nyingine tena inawakutanisha Yanga Sc dhidi ya watani wao Simba Sc.
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch wamethibitisha hilo leo baada ya kuingia mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na Klabu ya Mbeya City.
Pia msemaji wa kampuni ya Parimatch amesema wapo katika mazungumzo na vilabu vya Championship ili kutoa udhamini zaidi lakini pia wapo katika mazungumzo na Bodi ya Ligi.
Kanoute anavunja kuni, anakaba, anapiga pasi pia anafunga. Simba inaenjoy kuwa naye katika kikosi chake lakini ukiachana na yote hayo,
Huyu ndio yule muuza mkaa kutoka nchini Branzil nchi ya akina Fraga na Jaja!