Mwambusi, chaguo bora Ihefu.
Klabu ya Ihefu ilimtangaza Mwambusi, moja ya walimu wazoefu wa mpira wa miguu Tanzania. Ihefu imefanya maamuzi sahihi.
Klabu ya Ihefu ilimtangaza Mwambusi, moja ya walimu wazoefu wa mpira wa miguu Tanzania. Ihefu imefanya maamuzi sahihi.
Viongozi au mashabiki hutumia nguvu ya pesa kutafuta matokeo kwa vilabu vikubwa. Kutoka mitandaoni, uchambuzi huu umeandaliwa
Simba inefanikiwa kusonga mbele baada ya kuitandika Nyasa Big Bullets kutoka Malawi.
Wakati wa mechi hii na baada ya mechi wapigie kura wachezaji wako watatu.
Mshabiki kubisha, mchezaji kufanya vituko kadha wa kadha. Ni kote, haya Inonga kafanyaje? Angalia Ulaya hii.
Hii inaweza kuwa ‘ Like father like Son’ bora zaidi katika maisha ya soka kuwahi kutokea Dunia.
Timu mbalimbali Duniani kuelekea kombe la Dunia 2022 Qatar wameanza kutambulisha jezi watakazotumia.
Wapwa, Binafsi sishangai Henock Inonga kuitwa kwenye timu yake ya Taifa kwa kuwa amewahi kuitwa.
Football ni Industry ambayo inawapenzi wrngi sana ulimwenguni, na ni mfano huo huo unajionesha katika soka la Tanzania. Makala hii inaonyesha ni kwa nini one should invest in it.
Kwa mfano unaweza kucheza mchezo wa Don Bingote ambayo inaanzia dau la Shilingi 400 na kila sekunde watu wanavuna mkwanja wa maana yaani huu sio utani watu wanapiga kiukweli”