TP Mazembe chini ya kocha Pamhile Mihayo Kazembe, inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa Linafoot ikiwa na alama 58 wakicheza michezo 23 nyuma ya vinara AS Club Vita wenye alama 65 katika nafasi ya kwanza wakicheza michezo 25.
Mjadala ulioko KandandaChat: Natamani sana Waziri Mwakyembe aigeukie CCM kama Waziri mwenye dhamana ya michezo kuwaambia wa vikarabati hivi viwanja.
Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF mwaka huu ni kama mwaka wao kutokana na ratiba ya CAF na FIFA kuwabana haswa.
Kijana mmoja nchini Uingereza amejisalimisha mwenyewe Polisi mjini….Stori zaidi.
Waliokua nje ni pamoja na kipa Ally Salim, Yusuph Mlipili na kiungo Said Ndemla
Pia katika Ligi hiyo timu nyingine zinazochezewa na Watanzani wameendelea kupishana katika nafasi tofauti kwenye msimamo.
Yanga inatarajiwa kufanya uchanguzi wake mkuu mwezi wa tano. Uchaguzi ambao ni muhimu kwa afya ya klabu
Mwanzoni mwa msimu kulikuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na upana wa kikosi cha Simba. Mjadala ambao kwa kiasi kikubwa ulianzishwa na Haji Manara.
Amunike aliulizwa anamaoni gani kwa uwezekano wa Tanzania kupangwa na timu yake ya taifa ya Nigeria.
Tumefikiria kujenga Taifa Stars imara ya kutuwezesha kufuzu tena ?.