Kwa maana hiyo basi klabu ya Simba imevizidi vilabu vikubwa Africa Mashariki na kati kama Gor Mahia na Tusker (Kenya), APR na Rayon Sports (Rwanda), SC Villa na URA (Uganda) Yanga sc na Azam fc vya hapa nyumbani.
Yanga imefanikiwa sana msimu huu. Mafanikio ambayo hawaamini mpaka sasa kuwa wameyafikia mpaka muda huu.
Hakuna kinachofanyika baada ya kuongelewa kwa maoni chanya kama hayo. Yani huu utamaduni tumejijengea na hatuna hofu nao kabisa.
Na kinachouma zaidi hawa wanaopenda mpira kupitiliza ni watu masikini. Hawana uwezo mkubwa wa kifedha kwenye mfuko wao.
Sio kitu cha ajabu kuchangishana, hasa kwa lengo la kusaidia maendeleo ya jambo fulani. Wadau wengine waungeni mkono pia wadau hawa.
Marais wa Shirikisho la Tanzania na Cape Verde walitajwa kupoea rushwa kutoka kwa Ahmad Ahmad rais wa CAF
Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Yanga imewaengua wanachama waliokuwa wameomba kugombe nafasi mbali mbali katika klabu hiyo .
Kitu muhimu cha kujiuliza, pesa hizo zimefanya nini katika soka letu? Majibu pia utayapata hapa hapa.
Leo hii ukimsifia Kelvin John, au Edmund John unatakiwa usisahau kumsifia Jamal Malinzi katika makuzi yao.
Scott McTomminay ambaye alifanikiwa kucheza mipira yote ya juu katika mchezo wa jana tena kwa utulivu mkubwa.