Kelvin John- Licha ya kupoteza, tumejifunza vingi.
“Aaaah vingi , kwa mfano kama uliangalia mechi yetu dhidi ya Nigeria wakati tunaongoza…
“Aaaah vingi , kwa mfano kama uliangalia mechi yetu dhidi ya Nigeria wakati tunaongoza…
Nahodha wa Barcelona Lionel Messi amewaonya wachezaji wenzake….Stori zaidi.
Kocha wa timu ya Taifa, Amunike, ameita kikosi chake kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri.
Leo hii tuliyoshinda majumbani kwetu bila ya kwenda makazini kuadhimisha Sikukuu ya Mei Mosi, tuiingie katika tovuti hii kuona taarifa mbalimbali za kimichezo na makala za kutosha.
Tuache uwongo! Mchezaji wa kitanzania anauwezo wakucheza hata juu ya mti mradi tu magoli yawepo.
Kandanda ilifanya mahojiano mafupi na Himid Mao anayeichezea klabu ya Petrojet ya nchini Misri. Unaweza fuatilia kwa undani.
Tunashukuru sana kwa kufanikisha miaka nane yetu ya kuwapa wasomaji wetu habari za mpira wa miguu pekee. Hatutawaangusha!
Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Czech Josef Sural….Stori zaidi.
Deni hili kubwa kwa mshambuliaji wa Lipuli Fc, Paul Nonga, limewekwa katika moja ya mtaa mjini Shinyanga.
Niyonzima ameonekana kuwa na kiwango kizuri baada ya kuwa anaanza katika kikosi cha Simba.