Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?
Je ile safari ya Etiene kutua Azam FC inaelekea kutimia, KMC wakiri kutokuendelea naye kwa msimu ujao.
Je ile safari ya Etiene kutua Azam FC inaelekea kutimia, KMC wakiri kutokuendelea naye kwa msimu ujao.
Leo baada ya mazoezi kocha mkuu Emmanuel Amunike atatangaza rasmi habari hizi, tutawaleteaa zaidi.
Taarifa hizi zimethibitishwa na FIFA, lakini hakuna sababu za wazi za kukamatwa kwake
Kapera ameachwa mbali mno na kina Kaheza, Salamba na Rashid na ni heri Simba ingewarudisha kundini Rashid na Kaheza kuliko kumsaini Kapera.
Taarifa zilizosambaa leo ni kuwa fainali iliyompa ubingwa Esperance itarudiwa, kandanda inaangalia kwa undani kifupi hapa.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Kwa upande fulani, hizi tambo za mashabiki wa Simba, Yanga inawabidi tu wavumilie. Kwakuwa walitakiwa kufanya vizuri katika miaka yote waliyoshiriki.
Msimu wa 2019/2020 ni msimu wa burudani tele kwa wapenzi wa Kandanda nchini, hizi taarifa umezipokeaje? Tupe maoni yako
OBREY Chirwa alitumia nguvu na akili mara moja tu kati ya dakika 90’ za mchezo wa fainali ya kombe la FA
Mavugo alishindwa Simba kwa sababu mashabiki walimpa presha kubwa. Presha ambayo alishindwa kuimudu.