Kwanini makipa watano katika kikosi cha Stars?
Kikosi cha Timu ya taifa kipo nchini Misri na wachezaji 32, gumzo pia limekuwa kwanini kocha Aminike ameita makipa wengi
Kikosi cha Timu ya taifa kipo nchini Misri na wachezaji 32, gumzo pia limekuwa kwanini kocha Aminike ameita makipa wengi
Tumekuwa tukitamani sana kuwaona Ibrahim Ajib na Jonas Mkude wakifanikiwa kwenye mpira wa miguu lakini wao hawaoni kama wanatakiwa kufanikiwa.
Nidhamu nje ya uwanja imekuwa silaha kubwa kwake yeye kufanya vizuri ndani ya uwanja. Nini wachezaji wetu wanahitaji kujifunza kutoka kwa Kagere?
Ushindani wa timu hizi ndio utafanya ligi yetu kuwa bora zaidi. Kandanda.co.tz itaendelea na utaratibu wa kusheherekea na wafungaji wa Mabao kila mwezi.
Tumlaumu Mkude mwenyewe kwa kushindwa kwenda CAN 2019 nchini Misri si Amunike. Tenga muda uisome kwa makini hii.
Nini ambacho Mkude anatakiwa kufanya….
Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu.
Hii ni orodha ya wachezaji 32 ambayo Emmanuel Amunike, kocha wa Taifa Stars, ameondoka nao kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Misri. Je ni wachezaji gani tisa wanaweza wasiende AFCON?
Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo na tajiri huyo kijana kuhusu kukabidhiwa hati na mali nyingine za klabu.
Kuachwa kwa wachezaji hawa ‘mastaa vijana’ kutoka klabu kubwa nchini za Simba na Yanga kunapaswa kuwafumbua zaidi kimchezo vijana hao kama kweli wanataka kufikia malengo yao makubwa.
“Uwezo wa wachezaji walioachwa hakunishawishi mimi kama kocha, mimi siangalii mchezaji huyu ni nani awe kaka yangu au dada yangu,