Mechi za Timu ya Tanzania wakivaa Jezi Mpya
Hizi ni mechi za Tanzania ikiwa inavaa jezi mpya za Timu ya Taifa.
Hizi ni mechi za Tanzania ikiwa inavaa jezi mpya za Timu ya Taifa.
Toa maoni zadi katika tovuti yetu ukitumia hashtag #NimeisomaHii uisapoti Taifa Stars huko AFCON kwa jezi mojawapo ya Tanzania.
Golikipa huyo aliyevunja mkataba wake na Yanga kutokana na kutomaliziwa pesa zake za usajili, hali hii ilimfanya agomee mazoezi na Yanga.
Muda mrefu umepita tangu Juma Kaseja asiwe mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa. Leo hii Tanzania inamshuhudia Aishi Manula kama golikipa namba` moja wa timu ya taifa.
Hati inayoshikiliwa na wazee wa Simba haiwezi kuzuia mabadiliko katika klabu hiyo. Bwana Magori.
Wewe vaa jezi ya Taifa Stars, hapa soma ukiwa umevalishwa pia kimtandao jezi hiyo hiyo ya Taifa Stars.
Nani unadhani anaweza kuchukua nafasi hii? Kandanda tunadhani Oscar Mirambo anaweza iongoza vema, soma utupe maoni yako pia.
Ukitazama mbio za Aiyee, vile anavyopokea mpira, anavyotengeneza/ kujitengenezea nafasi, kujipanga katika maeneo ya hatari ya wapinzani
Jezi ya Taifa Stars ambayo itatumika na timu zote za Tanzania. Blue- Nyumbani na Njano-Ugenini.
Kuanza kupatikana leo katika maduka ya michezo.
Kumekuwa na taarifa za ndani kuwa Mtendaji mkuu wa Simba , Magori kuondoka Simba. Hiki ndicho Kandanda inatambua…