Harambee Stars itabadilika zaidi vs Stars
Tuwe waangalifu katika mchezo dhidi ya Kenya, wanaweza kuleta mabadiliko zaidi na wakawa hatari pia.
Tuwe waangalifu katika mchezo dhidi ya Kenya, wanaweza kuleta mabadiliko zaidi na wakawa hatari pia.
Vilabu vyote 20 vinatakiwa kuona hii na kuwa na wivu hata wa kukopa sehemu ili vitengenez pesa hii.
Kama ambavyo wengi wetu tunavyosema kuwa michuano ya Afcon ya mwaka huu tumeenda kujifunza na siyo kushindana. Basi kuna vitu ambavyo tunatakiwa kuvichukua kama fundisho.
Jana tulikuwa na mechi ya kwanza ya mashindano ya Afcon baada ya kukaa miaka 39 bila kushiriki michuano hii mikubwa barani Afrika.
CAF hivi karibuni imekumbwa na tuhuma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya rushwa.
Sitaki kutaka maji mengi ya watu. Jikumbushe kuhusu Said Bahanuzi. Nani anajua aliko? Binafsi sijui kama kaacha soka au anafanya kazi gani.
Kelvin aliondolewa katika awamu ya mwisho ya mchujo kupata wachezaji 23. Kuitwa pia kwake kumemuongezea nafasi ya kupata timu nje.
Winga huyo amewahi kuchezea timu ya vijana ya Simba sc hapo kabla, na amekuwa nguzo muhimu katika kampeni ya Ligi Kuu msimu uliopita kwa upande wa Lipuli Fc.
Kiujumla hadi sasa Yanga imesaini vizuri wachezaji wapya na kikosi hicho kinaonekana kinaweza kurejesha ubingwa waliopoteza kwa misimu miwili mfululizo kwa mahasimu wao Simba.
Itazame Taifa Stars pia, leo hii wachezaji wa nafasi muhimu kama beki za kati, kiungo mchezesha timu na mshambulizi wa kati hawatoki katika klabu zetu kubwa.