Kilomoni sio mdhamini wa Simba Sc
Mzee Kilomoni ameonekana kuwa ni kikwazo kwa muda mrefu katika mabadiliko ya klabu hiyo.
Mzee Kilomoni ameonekana kuwa ni kikwazo kwa muda mrefu katika mabadiliko ya klabu hiyo.
Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
Katika orodha hii, kuna sura ngeni akiwemo Salim Aiyee huku wengine wakiachwa kutoka katika kikosi cha Amunike cha awali.
Akiwa tayari ameonyesha uwezo mzuri kiasi cha kushinda tuzo ya golikipa bora wa michuano ya SportsPesa Super Cup mapema mwaka huu
Simba ilifikiria kuwasaini wachezaji kama Watler Bwalya, Jakaka Tuyisenge, Jean Mundele Makussu lakini wamewakosa wote hao labda ndio maana wamekimbilia Brazil.
Aishi ataendelea kusaidia wapinzani kupata magoli hadi lini? Kuanzia Boniphace Maganga, Jean Mundele Makusu na hadi sasa Olunga
Mchezaji huyo aliyefunga magoli 18 msimu jana kwenye ligi kuu, na akafunga magoli 2 kwenye mechi za mtoano ya kupanda ligi kuu.P
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo.
KMC ilimtangaza Mayanja kama kocha wake tayari kwa Ligi Kuu na Michuano ya Kagame.
Kitu muhimu ni kuwaunga mkono Taifa Stars huko waliko wapate ushindi.