Sababu 5 za kiufundi za kuachwa kwa James Kotei.
Kunaweza kuwa na sababu nyingi tofauti za ndani kuhusu kuachwa kwa Kotei, lakini hizi tumeaangaza kiufundi zaidi.
Kunaweza kuwa na sababu nyingi tofauti za ndani kuhusu kuachwa kwa Kotei, lakini hizi tumeaangaza kiufundi zaidi.
Matukio haya yote yanayoendelea nchini kwa mashabiki wa Yanga ni kwaajili ya kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi
Aishi Manula na David Mwantika kuukosa mchezo wa leo kutokana na taarifa za majeruhi ambayo Daktari wa timu ataelezea hapo baadae.
Simba watacheza na Township Rollers wapinzani wa kimataifa wa Yanga katika mchezo wa awali. Baada ya hapo watacheza dhidi ya Platnumz FC, Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs.
Zana atakumbukwa zaidi na jamii ya wana Simba kutokana na muonekano wake wa kipekee, ukaribu na mashabiki , vituko na aina ya uchezaji wake wa kupiga krosi yaani kumwaga maji na yakamwagika.
Tukio hili limefanikiwa kwa miaka 9 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2009 na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Mzee Hassani Dalali. Maadhimisho ya miaka 10 ya Siku ya Simba huenda yakaingia
Hii ni biashara kubwa sana, biashara ambayo imenifanya nijifikirishe leo asubuhi kama pesa za Makambo , Yanga wamezipata au la!.
Mwisho wa yote namkaribishaa Chilunda nyumbani. Karibu kaka. Karibu sana. Sihitaji kukwambia kuhusu Dar es Salaam ilivyo. Najua unaijua sana.
Polisi wa Afrika ya kusini walithibitisha kuibiwa kwa pesa taslimu Paundi 500 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi million 1.4 za kitanzania. Polisi walifanikiwa kuwatia hatiani wafanyakazi watano
Unamkumbuka Marcio Maximo? Kocha wa zamani wa Taifa Stars na baadae Yanga Sc.. Pitia moja ya makala hii ambayo iliandikwa kipindi hicho na Dizo Moja (2009).