Tutaanza ligi na mdhamini – Wambura
Wadau wengi bado wanaulizia ligi hii itakuwa na mdhamini? Au inaenda kavu kavu?
Wadau wengi bado wanaulizia ligi hii itakuwa na mdhamini? Au inaenda kavu kavu?
Tujiulize kitu. Dismas hawezi kuwaita mashabiki kuja kiwanjani, mtu gani wa Yanga au nje ya Yanga anayeweza kuwaita mashabiki? Mshindo Msolla? Frederick Mwakalebela? Mzee Akilimali? Jimmy Kindoki? Mbwiga Mbwiguke? Masau Bwire?
Huwezi kujiita mwekezaji wakati hutaki kuwekeza hata kwenye hamasa ya mashabiki. Wachezaji huitaji hamasha ili kujituma zaidi.
Etienne Ndayiragije alichukua nafasi ya Emmanuel Amunike ambaye alisitishiwa mkataba baada ya kufanya vibaya katika michuano ya AFCON nchini Misri.
Kwenye timu ya taifa kuna Juma Kaseja ambaye anaonekana ana njaa kubwa kwa kipindi hiki na kwenye timu ya Simba kuna Beno Kakolanya.
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema hakutahitajika kuwa na pesa ya kianzio katika akaunti wala makato ya mwisho wa mwezi.
Klabu ya KMC iliyochini ya Juma Mgunda, inaendelea na mazoezi yake kujiandaa na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu Tanzania ba
7-8-2019- Chakula cha usiku cha pamoja (Klabu ya Simba na Klabu ya Power Dynamos) na kisha kuwaaga wageni na kuwashukuru wadhamini wote waliofanikisha tukio la SportPesa Simba Week 2019.
Siku hizi Taifa Stars ikicheza huwa nnawafikiria jamaa zangu wale wawili, Pierre Liquid na Bongo Zozo na fujo zao zisizoumiza! Naamini hawa huwa wanaumia sana kuliko sisi wote.
Yanga imeweka kambi Morogoro, ikijiandaa na mechi za Ligi kuu na Mabingwa wa Afrika, pamoja na maandalizi ya Wiki ya Mwananchi ambalo linalenga kuitaambulisha timu kwa wananchi.