Unaikumbuka mechi ya kwanza ya Juma Kaseja?
Tarehe nne tena huenda akawa golini tena dhidi ya Burundi wakati tukianza kampeni ya kutafuta tiketi ya kombe la Dunia Qatar.
Tarehe nne tena huenda akawa golini tena dhidi ya Burundi wakati tukianza kampeni ya kutafuta tiketi ya kombe la Dunia Qatar.
Yanga imeanza ligi kwa kupata kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wazee wa kupapasa, hizi tambo zao sasa.
Klabu ya Munasa Fc ipo katika ziara ya kimichezo katika jiji la Dar es salaam.
Tunauhitaji sana mguu wa Shiza Ramadhani Kichuya, tunao uwezo wa kuukoa, tufanye haraka sana.
Hakuna ambaye alikuwa na uhakika wa kwenda kupata hata sare kwenye uwanja wa Taifa mbele ya Simba.
Kuna penzi tamu kama penzi la Emmanuel Okwi na timu ya Simba ?. Hapana shaka ni mara chache sana kuona wapenzi wa aina hii katika dunia ya leo.
dhahili bila kificho kuwa Watanzania wanaupenda sana mpira kuliko nchi zingine. Niyonzima ameendelea kwa kusema kuwa mapenzi hayo ni vigumu sana kuyakuta kwa nchi nyingine za kiafrika.
Kipindi haya yote yanatokea, kumbe Msimamo wa TFF ulikuwa na kasoro, Kumbe Kagera Sugar ilibidi ndio wakacheze Playoff na Stand United Washuke daraja jumla jumla…Tff bhana we acha tu.
Viwanja vya Afrika huwa havina watazamaji wengi kiasi cha kuwatisha wageni. Yanga imezoea kucheza viwanja vya ugenini vyenye mashabiki waliojaa mpaka pomoni ligi kuu, hivyo si rahisi kutishwa na idadi kiduchu wa mashabiki wa Rollers.
Unajua maana ya tai ya kijivu? wapi unatakiwa uivae pia? Kuwa makini na maana ya rangi hii.